JENERALI WA BOSNIA ALIVYOKUNYWA SUMU MBELE YA HAKIMU AKIDAI YEYE SI MUHALIFU
AmakweliI hii ndio inaitwa dunia adaha ulimwengu shujaa. Ni tukio lililo jiri na kunasa vichwa vya wengi ndani ya wiki hii katika mahakama kuu ya makosa ya kivita na mauaji ya halaiki(ICC)huko the Hague nchini Netherlands.
Wakati akisomewa mashitaka yake ya kushindwa kuwajibika, kuchukua hatua zozote kimamlaka, kushindwa kutoa taarifa na uthibitisho kwa ajili ya utetezi dhidi ya shutuma zinazomkabili Jenerali huyo
Slobodan Praljak alikua katika hali ya ukimya na utulivu na baada ya kusomewa hukumu ndipo aliposimama nakusema kuwa ameonewa na yeye si muhalifu nakisha kutoa jijichupa kidogo mfukoni na kumimina kitu aina ya kinywaji mdomoni. Baada ya hakimu kumuomba awe katika hali ya utulivu ndipo akasema kwamba amekunywasumu.
Baada ya kihoja hicho huku mahakama ikionekana kuwa katika hali ya mtafaruku ndipo hukumu

Post a Comment