Loading...
Home »
Unlabelled »
KAMA HUKUA UKIFAHAMU MTI MREFU KULIKO YOTE AFRIKA UKO TANZANIA..... FUATILIA!!!
Advertisement
[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
KAMA HUKUA UKIFAHAMU MTI MREFU KULIKO YOTE AFRIKA UKO TANZANIA..... FUATILIA!!!
Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua kile wanaamini kuwa ni mti mrefu
zaidi barani Afrika. Mti huo uko bonde moja lililo Kaskazini Mashariki
mwa Tanzania.
Wanasayansi kutoka chuo cha Bayreuth nchini Ujerumani, wanasema
wanaamini kuwa mti huo unaopatiknan karibu na mlima Kilimanjaro ndio
mrefu zaidi barani.
Mmoja wa wanasayansi hao alisema kuwa aliona mtu huo miaka 20 iliyopita,
lakini ni hadi hivi majuzi wakitumia vifaa maalum walifaulu kupima
urefu wake.
Mti huo kutoka familia ya Entandrophragma excelsum una urefu wa mita 81.
Wanasayansi nchini Tanzania bado hawajatoa taarifa yoyote kuhusu ugunduzi huo.
Wanasayansi waliogundua mti huo sasa wanataka ujumuishwe kwenye kumbukumbu ya miti isiyo ya kawaida duniani
Mti huu umechukua nafasi ya ule mti wa Africa ya kusini wa famili ya
(Eucalyptus saligna) huko Limpopo, South Africa ambao ulikufa mwaka 2006
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Sunday, December 4, 2016
Post a Comment