NI BAADA YA KUGONGANA NA FERI, WATU 13 WAFARIKI UTURUKI

Mtumbwi huo unaaminika kuwa ulikuwa ukielekea katika kisiwa cha Lesbos kilichoko ugiriki ajali hiyo ilipotokea.
Ajali yenyewe imetokea karibu na bandari ya Canakkale Uturuki.
20 kati yao waliokolewa majini huku wengine 13 wakiwa hawajapatikana.
4 kati ya wale waliokufa maji ni watoto.
20 kati yao waliokolewa majini huku wengine 13 wakiwa hawajapatikana.
Wakati huohuo idadi kubwa ya wahamiaji wanazidi kuelekea katika mataifa ya bara ulaya.
Foleni kubwa ya watu imeripotiwa kwenye mpaka kati ya Slovenia Austria na Croatia licha ya mikakati ya kuwazuia kuingia katika mataifa hayo.
Kuwepo kwao katika eneo hilo la Ulaya kumezua makabiliano baina ya Austria, Hungary na Croatia. PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement
Post a Comment