MWANADADA MANGE KIMAMBI KUWAKENGEUKIA WATANZANIA
Katika hali ya kushangaza mwanadada Mtanzania aishie nchini Marekani ambaye ni mwanaharakati kupitia mtandao, Mange
Kimambi amekengeuka msimamo wake mkali unaompinga Rais wa nchi yake Mh. John Pombe Magufuli na badala yake kusema hataki tena kuzoena na watanzania aliokua akiungana nao mkono na badala yake ataanza kumuunga mkono Rais huyo.

Swala hilo limeshangaza wengi haswa waliokua wakifuatilia kwa ukaribu nini atakacho amua mwanaharakati huyo haswa baada ya kushindwa kufanyika kwa
maandamano hayo aliyoyapa nguvu katika siku yaleo tarehe 26 April, ambayo pia ni siku ya maadhimisho ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliopelekea kupatikana kwa taifa la Tanzania.
maandamano hayo aliyoyapa nguvu katika siku yaleo tarehe 26 April, ambayo pia ni siku ya maadhimisho ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliopelekea kupatikana kwa taifa la Tanzania.
Ni kweli maandamano hayo yaliyopangwa na kuhamasishwa na Mwanadada huyo pamoja na wafuasi wake yaligonga
mwamba kufuatia onyo kali pamoja na vitisho kutoka kwa serikali na jeshi la polisi nchini Tanzania.
mwamba kufuatia onyo kali pamoja na vitisho kutoka kwa serikali na jeshi la polisi nchini Tanzania.
Hata hivyo Rais John Pombe Magufuli hakusemea chochote juu ya maandamano hayo alipotoa salamu zake katika sherehe za maadhimisho hayo ya muungano ingawa alisisitiza vikali kuusimamia na kuulinda muungano huwo kwa gharama zake zote.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment