[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
Wavuvi kutoka Pemba wakamatwa Mombasa.
Meli ya mizigo katika bandari ya Mombasa walipokamatwa wavuvi wa Pemba.
Maafisa wa usalama wa Kenya wanasema wamekamilisa kuwakagua watu
zaidi ya 100 waliokamatwa mwishoni mwa juma kwenye bahari hindi, na
imetambua kwamba walikuwa ni raia wa Tanzania pamoja na wakenya kadhaa.
Wakuu
wa Usalama kutoka eneo hilo wamesema japo wengi wao ni wavuvi kutoka
Pemba, waliokuwa wakivua nyakati za usiku, watafunguliwa mashitaka ya
kuingia nchini kinyume cha sheria na kuchukuliwa kama wahamiaji wasio na
hati zinaozhitajika.
Watu hao wote ambao ni wanaume walikamatwa kwa sababu za kiusalama
kulingana na mkuu wa idara ya polisi katika county ya Mombasa, Francis
Wanjohi ambae pia amesema kuwa uchunguzi uaonyesha kuwa walikuwa wavuvi.
Hata hivyo amesema idara ya uhamiaji na ile ya uvuvi zitachukua hatua
za kisheria dhidi ya washukiwa hao.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Monday, December 14, 2015
Post a Comment