Loading...
Advertisement

AMANI INAHITAJIKA WAKATI WA UCHAGUZI

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==> Advertisement

Jeshi la polisi Tanzania lasisitiza amani wakati wa uchaguzi

Image result for kikao cha polisi tanzaniaErnest Mangu mkuu wa jeshi la polisi nchini katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo amesema kwamba jeshi hilo halitasita kukabiliana na watu au kikundi chochote kitakachokaidi sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi kwa kisingizo cha kulinda kura.
Image result for kikao cha polisi tanzania
Nchini Tanzania wakati kesi iliyofunguliwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ya kutaka tafsiri ya sheria juu ya umbali unaoruhusiwa wapiga kura kusimama  baada ya kupiga kura haijatolewa uamuzi,  jeshi la polisi nchini humo limesisitiza kwamba halitaruhusu kuwepo mikusanyiko yoyote baada ya upigaji  kura kukamilika Oktoba 25 mwaka huu

Jaji Sakieti Kihiyo, ambaye ni kiongozi wa jopo la majaji watatu leo aliahirisha  tena hukumu ya kesi hiyo katika shauri  la kikatiba linaliloleta mvuto wa aina yake nchini humo lililofunguliwa na mgombea Ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya Chadema, Amy Kibatala, akiomba mahakama kutoa tafsiri ya kifungu cha 104 cha sheria ya uchaguzi baada ya kauli mbalimbali za viongozi wa Serikali kutoruhusu wapiga kura kukaa vituoni mara bada ya kumaliza kupiga kura huku wapinzani wakisisitiza kuwa sheria inaruhusu kukaa umbali wa mita mia mbili

Ernest Mangu  mkuu wa jeshi la polisi  nchini katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo amesema kwamba jeshi hilo halitasita kukabiliana na watu au kikundi chochote kitakachokaidi sheria, kanuni na taratibu  za uchaguzi kwa kisingizo cha kulinda kura.

Image result for kikao cha polisi tanzania
Mkuu huyo wa jeshi la polisi ametaka kuwepo kwa amani na utulivu kama ilivyokuwepo wakati wote wa kampeni za uchaguzi mkuu zinazohitimishwa Jumamosi Oktoba 24 mwaka huu
Watanzania wanatarajiwa kupiga kura oktoba 25 mwaka huu kuwachaguwa madiwani, wabunge na rais, katika uchaguzi mkuu ambao vyama vinane vimesimamisha wagombea wa urais.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Storykilo | Designed By Hisia za Mwananchi
Back To Top