Loading...
Advertisement

DIAMOND HANA DHARAU

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==> Advertisement
Image result for diamond platnumz

Harmonizer afunguka; Diamond hana dharau



MKALI wa ngoma ya ‘Aiyola’ Rajabu Abdulkhali maarufu kama Harmonizer amesema kuwa bosi wake Diamond Platnumz hana mashauzi na dharau kama wengi wanavyomfikiria.
DSC_0266Akibonga na Swaggaz juzi jijini Dar es Salaam, Harmonizer alisema kuwa tuhuma hizo zinatokana na namna nyota huyo wa wimbo wa Nana anavyojiweka, lakini ni mtu poa sana ndiyo maana alikubali kumsaidia na kumsimamia vyema kimuziki.
“Diamond angekuwa na dharau asingenisaidia kufika hapa nilipo, ni mtu poa sana, anapenda kumsikiliza kila mtu lakini labda mwonekano wake kwa jamii ndiyo unafanya wengi wafikiri labda ana mashauzi,” alisema.
Harmonizer ni msanii wa kwanza kutoka kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) inayomilikiwa na Diamond Platnumz, mshindi wa tuzo tatu za AFRIMMA mwaka huu.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Storykilo | Designed By Hisia za Mwananchi
Back To Top