[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
UNAFAHAMU MAHUSIANO YA MBWA NA BINADAMU ULIANZIA WAPI?? FUATILA......
Watafiti wanakubaliana mbwa wamekuwa wakitumiwa na binadamu kwa miaka 15,000
Utafiti mpya unaonyesha kuwa mbwa walianza kufugwa kwa mara ya kwanza katikati mwa bara Asia.
Watafiti
hao walichunguza chembe za msambojeni (DNA) za aina 165 ya mbwa, kutoka
mataifa 38 katika kile wanachosema ni utafiti mkubwa zaidi, kuwahi
kufanyika duniani kuhusiana na uzao wa mbwa.
Utafiti huo unasema
kuwa Nepal na Mongolia ni maeneo ya kwanza kabisa ambapo mbweha walianza
kuwa marafiki wakubwa wa binadamu, lakini haijasema ni lini tukio hilo
lilifanyika. Kuna dhana nyingine kuwa mbwa walianza kufugwa kwa
mara ya kwanza kusini mwa Uhina, bara ulaya, Siberia, au Mashariki ya
Kati, yapata miaka elfu kumi na mitano iliyopita.
Matokeo ya
utafiti huo yamechapishwa kwenye toleo la hivi punde la jarida la
Proceedings of the National Academy of Sciences, linalochapishwa nchini
Marekani.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment