[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
Marekani yapeleka wanajeshi Cameroon kupambana na Boko Haram
Rais Obama
alitangaza kupelekwa kwa wanajeshi hao katika barua aliyowatumiwa wakuu
wa baraza la senate na la wawakilishi. Anasema takriban wanajeshi 90
walianza kupelekwa huko Cameroon jumatatu, na idadi kamili ya wanajeshi
wanaotazamiwa kupelekwa huko ni mia 3.

Rais Barack Obama atapeleka wanajeshi wa Marekani huko Cameroon kwa
ajili ya upelezi wa angani dhidi ya wanamgambo wa Boko Haram. Afisa wa
wizara ya ulinzi ya marekani amesema wanajeshi hao walialikwa na
serikali ya Cameroon kama sehemu ya juhudi pana ya kimataifa kuzuia
kuenea kwa wanamgambo wenye siasa kali huko Africa Magharibi
Afisa huyo wa Pentagon, anasema, haja ya Jumuia ya kimatiafa kuchukua
hatua imezidi kuwa na umuhimu, pale Boko Haram na makundi mengine
yanapoimarisha ghasia zao.
Boko Haram imekuwepo huko Kaskazini mwa Cameroon, ambayo iko karibu
na mpaka na ngome ya kundi hilo huko kaskazini Mashariki mwa Nigeria.
Kundi hilo limeuwa mamia ya raia huko Cameroon, na takriban raia elfu 10
nchini Nigeria katika miaka ilopita.

Rais Obama alitangaza kupelekwa kwa wanajeshi hao katika barua
aliyowatumiwa wakuu wa baraza la senate na la wawakilishi. Anasema
takriban wanajeshi 90 walianza kupelekwa huko Cameroon jumatatu, na
idadi kamili ya wanajeshi wanaotazamiwa kupelekwa huko ni mia 3.
Msemaji wa wizara ya ulinzi, lutein kanali, Michelle Baldanza,
alisema wanajeshi hao watasaidia kazi za kukusanya habari za kijasusi na
upelelezi kwa ndege katika eneo hilo.
Wanajeshi wa Cameroon kwenye kijiji cha Mabass, wakilfanya ulinzi dhidi ya wanamgambo wa Boko Haram
Kadhalika, kufuatana na maafisa wa ulinzi mbali na kuongoza ndege
zisizokuwa na rubani wala silaha wanajeshi hao watazingatia katika
kuwezesha operesheni, usalama wa mipaka na uwezo wa kikosi cha kujibu
kwa haraka.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Wednesday, October 14, 2015
Post a Comment