Loading...
Advertisement

HABARI NJEMA KWA WANFUNZI WA SEKONDARI

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==> Advertisement

Waraka wa Kufuta Ada Elimu ya Sekondari ( Kidato cha 1 Hadi 4) na Michango yote Elimu ya MsingiSerikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimumsingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne,kuanzia mwaka wa masomo wa 2016.

Image result for NEMBO ZA WIZARA YA ELIMU
Azima hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo.

Katika kutekeleza maamuzi hayo,ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa Elimu namba 8 wa mwaka 2011 kuhusu michango shuleni nao pia umefutwa.

Aidha, mwongozo wa elimumsingi bila malipo unaandaliwa na utatumwa kwa wamiliki wa shule ifikapo au kabla ya tarehe 15 Disemba 2015.
Image result for NEMBO ZA WIZARA YA ELIMUImage result for NEMBO ZA WIZARA YA ELIMU
Waraka huu umeanza kutumika tarehe 21 Novemba 2015
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Storykilo | Designed By Hisia za Mwananchi
Back To Top