[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
Wachimba mgodi 5 wafariki Geita Tanzania (GGM)
Wachimbaji dhahabu watano wamefariki baada ya kufukiwa na kifusi huko Geita
Wachimbaji dhahabu
watano wamefariki baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya Mgusu
mkoani Geita, Kusini Kaskazini mwa Tanzania.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia
Jumapili katika machimbo yanayomilikiwa na kampuni ya Geita Gold Mine
ambayo ni moja ya makampuni makubwa ya uchambaji wa dhahabu barani
Afrika.
Makamu wa rais wa kampuni hiyo Simon Shayo amewaambia waandishi wa habari
kwamba miili hiyo iliokolewa jana kwa ushirikiano na wachimbaji wengine
wa eneo hilo.Shayo alisema eneo ambalo tukio hilo lilitokea si eneo salama na kwamba lilipigwa marufuku kwa shughuli za uchimbaji.
Hata
hivyo baadhi ya wachimbaji wamekuwa wakiendelea kuingia na kufanya
shughuli za uchimbaji kinyemela na kupuuza ilani ya kutoingia katika
maeneo hayo.
Wiki mbili tu zilizopita, wachimbaji wengine watano
waliokolewa wakiwa hai katika machimbo ya Nyangalata baada ya kufukiwa
na kifusi kwa siku 41.
Wiki mbili tu zilizopita, wachimbaji wengine watano
waliokolewa wakiwa hai katika machimbo ya Nyangalata baada ya kufukiwa
na kifusi kwa siku 41.
Wanne wao bado wako hospitalini, wakati mmoja alifariki dunia wiki iliyopita.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment