[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
Mambo Yamvurugikia Dk Mwaka wa Foreplan Clinic, Serikali Yavamia, Achunguzwa…!madaktari wakimbia
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis
Kigwangala (kulia) akiwatwanga maswali wasaidizi wa Dk. Mwaka ambapo
wengine walikaa kimya wakidai sio wasemaji wa kituo.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis
Kigwangala (kulia) akiwatwanga maswali baadhi ya wasaidizi wa Dk. Mwaka
ambapo wengine walikaa kimya wakidai sio wasemaji wa kituo. Serikali
imevamia kituo hicho na kufanya ukaguzi wa kushtukiza na kubaini
sintofahamu.
SERIKALI
imevamia kituo cha Tiba Mbadala cha Foreplan Clinic kinachomilikiwa na
Dk. Mwaka Juma Mwaka (Dk. Mwaka) na kufanya ukaguzi juu ya tiba
inayofanywa na kituo hicho pamoja na taaluma za wahusika. Ziara hiyo ya
kushtukiza imefanywa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala ambapo baada ya ukaguzi na
kukuta sintofahamu huku ikionekana mmiliki wa kituo hicho kuvunja
baadhi ya taratibu ameamuru mmiliki kufika mara moja Ofisini kwake huku
akiwa na nyaraka zote halali juu ya tiba anayoitoa.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis
Kigwangala akiangalia kifaa ambacho kimekutwa kikitumiwa kituoni hapo
kupima wagonjwa.
Dk. Kigwangala pia amemwamuru Mkurugenzi Msaidizi wa Tiba Asilia na
Mbadala wa Serikali ndani ya wiki moja kufanya ukaguzi wa kina juu ya
tiba inayotolewa na kituo hicho na kuangalia dawa zake kama ni rafiki
kwa watumiaji ikiwa ni pamoja na kuvikagua vituo vingine kama hivyo
vikiwemo vya Dk. Ndodi, Dk. Rahabu, na wengineo ili kuwabaini
wanaowalaghai wananchi juu ya tiba feki.
Awali Naibu Waziri na msafara wake walizuiwa kabla ya kuingia na
wahusika kukimbia kwani hakukuta daktari yoyote ndani ya vyumba vyote
vya matibabu na badala yake aliwakuta wasaidizi ambao walishindwa kujibu
maswali ya Naibu Waziri juu ya huduma wanazozitoa huku kukiwa na foleni
za wagonjwa wakisubiri huduma hivyo kuwashauri kwenda hospitalini ili
wakapate matibabu fasaha.
Alishangazwa na kitendo cha watoaji wa tiba mbadala kujitokeza kwa
kutumia vyombo vya habari na kuuchambua mwili wa mwanadamu kana kwamba
wamesomea jambo ambalo ni kinyume cha utaratibu. Alisema ni kosa
kujitangaza kama unatoa tiba za utabibu kwenye vyombo vya habari, kwani
sheria hairuhusu mtu wa tiba asilia kutumia maneno ya tiba za kisasa
katika shughuli zake.
Hivi karibuni kumeibuka mjadala ukijadili juu ya ukweli wa matibabu
ya Dk. Mwaka baada ya mtandao mmoja wa kijamii kuandika ukidai kuwa dawa
hizo za asili zimekuwa zikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji kuwa
hazina ukweli, hata hivyo upande uliolalamikiwa haujatoa taarifa ya
kukanusha kabla ya serikali kuvamia kituo hicho.
Hata hivyo kumekuwa na ongezeko kubwa la baadhi ya watu na vituo
kuibuka na kujitangaza kila uchao kwa vyombo vya habari kuwa wanatoa
huduma mbadala na kutibu magonjwa mbalimbali hadi magonjwa ambayo
yamekuwa hayatibiki uku vikiwa na gharama kubwa za matibabu jambo ambalo
limekuwa likiibua maswali kwa baadhi ya watu
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment