[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
ZAIDAI YA AKAUNTI ELFU 50 ZA MITANDAO YA KIJAMII ZA VIJANA ZAJIHUSISHA NA MAKUNDI YA KIGAIDI NA YENYE MSIMAMO MKALI KAMA ISIS NA MENGINEYO
Wakati zaidi ya watu bilioni 1.8 (moja nukta nane) kote ulimwenguni ni vijana, asilimia kubwa ya watu wanaojikita kujihusisha na kujiingiza katika makundi haya hatari yenye msimamo mkali ni vijana.
Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya umoja wa mataifa iliyotolewa hivi majuzi ikidai kwamba vijana walio kati ya miaka 10(kumi) hadi 24 (ishirini na nne) ndio watu wanaojikita, kukamatwa, na hata kupoteza maisha kwa kutuhumiwa kujihusisha au kujihusisha na maswala ya makundi yenye msimamo mkali.

Kubwa lililoonekana ni ukosefu wa elimu, ukosefu wa fursa za ajira na kadhalika kama ushawishi kupitia viongozi wa kidini na mitandao ya kijamii ndivyo vinayopelekea vijana kujikita katika maswala hayo kwani "zipo akaunti mbali mbali za mitandao ya kijamii zipatazo elfu 50 (hamsini) zinazojihusisha na makundi yenye msimamo mkali na jumbe zipatazo elfu 90 (tisini) za tweeter kila siku zihusianazo na maswala ya makundi yenye msimamo mkali" na hapo ndipo linapopatikana jibu la kwamba asilimia kubwa ya wanaojihusisha na makundi haya ni vijana kwani vijana ndio watu wenye kutumia sana mitandao ya kijamii ukilinganisha na makundi mengine ya watu wa makamo na wazee.
Hatahivyo kataka mkutano hou wa umoja wa mataifa, mjumbe kutoka jorda alisema hatua za wazi zimeshaanza kuchukuliwa katika mataifa mbalimbali juu ya kukabiliana na tatizo hilo kama vile kutoa elimu kwa vijana fursa za ajira na mafunzo mbalimbali yatakayo wapelekea vijana kujiajiri wenyewe
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Monday, December 14, 2015
Post a Comment