Loading...
Home »
Unlabelled »
FACEBOOK MATATANI KWA BIASHARA YA SILAHA
Advertisement
[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
FACEBOOK MATATANI KWA KUHUSISHA NA BIASHARA ZA SILAHA LIBYA
Utafiti mpya umebaini kwamba kuna
soko linaloendelea kuimarika katika biashara haramu ya bunduki nchini
Libya kupitia mitandao ya kijamii hususan ule wa Facebook.
Ripoti hiyo inayoangazia miezi 18 ilibaini mauzo ya vifaa vingi kutoka bunduki hadi makombora ya kutungua ndege.
Vifaa hivyo vilikuwa vikiuzwa kupitia mitandao ya siri ya makundi ya Facebook.
Uuzaji
wa bunduki ni ukiukaji wa sheria za huduma ya mtandao huo na msemaji wa
Facebook amesema kuwa wanawataka watu kuripoti kuhusu machapisho kama
hayo.
Ripoti hiyo ilizinduliwa na utafiti wa silaha ndogo ndogo na
data iliochunguzwa na shirika la utafiti la Armament katika mauzo
1,346.
Watafiti wanaamini kwamba hicho ni kipande kidogo cha biashara yote inayoendelea katika mitandao ya kijamii.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Thursday, April 7, 2016
Post a Comment