Loading...
Home »
Unlabelled »
MHADHIRI WA CHUO KUTEKETEA KWA MOTO NDANI YA GARI
Advertisement
[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
Mbezi Ajulikana..Mi Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dar es Salaam
ATEKETEA KWA MOTO AKIWA NDANI YA GARI

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Sayansi na
Uhandisi wa Kompyuta (CoICT), Dk Richard Mgaya amefariki baada ya
teketea ndani ya gari lake jijini Dar es Salaam juzi.
Gari la Dk Mgaya liliteketea baada ya kugongana na lori katika eneo la
Mbezi Africana, Wilaya ya Kinondoni usiku wa kuamkia juzi na kuwaka moto
uliosababisha kifo chake.
Juzi picha mbalimbali zilisambaa zikionesha gari aina ya Toyota Prado
lililopata ajali eneo hilo la Africana baada ya kugongana na lori,
baadaye ilibainika kuwa aliyekuwa katika gari hilo ni Dk Mgaya.
Akizungumza kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni,
Christopher Fuime alisema gari la Dk Mgaya liliteketea na hata kushindwa
kujulikana dereva wa gari hilo.
Alisema baadaye ndugu wa marehemu ndio walithibitisha kuwa gari hilo
lililoteketea na dereva aliyekuwemo ni Dk Mgaya ambaye hata hivyo naye
aliteketea ndani ya gari hilo.
“Lile gari liliungua na hakuna kitu kilichopatikana, hata wakati polisi
wanafika eneo la tukio walikuta tayari dereva amekuwa majivu kutokana na
kuteketea kwa moto… labda baada ya kupima vinasaba ndio itathibitika
kama ilikuwa ni yeye,” alisema Kamanda Fuime.
Alisema hata gari hilo hawakuweza kulitambua mara moja na baada ya
kufuatilia Mamlaka ya Mapato (TRA) ilibainika kuwa mmiliki wake ni Dk
Mgaya.
Alisema “ndugu wa marehemu ndio wamesema kuwa ni ndugu yao.”
Dk Mgaya alijiunga na idara hiyo miaka kadhaa iliyopita akitokea
masomoni nchini Marekani na alikuwa ni mtaalamu wa artificial
intelligence.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Wednesday, April 6, 2016
Post a Comment