Loading...
Advertisement

HIVI NDIVYO TANZANIA ILIVYOWEZA KUPIGWA BAO KIAKILI NA JIRANI ZAO KENYA

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==> Advertisement
Image result for Precision Airlines vs kenya airways

HIVI NDIVYO TANZANIA ILIVYOWEZA KUPIGWA BAO KIAKILI NA JIRANI ZAO KENYA SEHEMU YA 1

KATIKA PITAPITA ZAKE MTANDAONI YANAYOJIRI IKAKUTANA NA MAKALA HII ILIYOGUSA HISIA ZA WENGI FUATILIA.....

Image result for DAR ES SALAAM 

Image result for NAIROBITofauti kati ya wakenya na Watanzania

Wakenya wanacheza smart games na Watanzania bado tumelala....
 

Image result for Precision Airlines vs kenya airwaysAfter Precision Airlines (PA) kuwa threat kwa operation za Kenya Airways (KQ) route za Tanzania na Kenya, KQ wakaingia ubia na PA very smartly na wakawa wanaihujumu undercover. Leo hii PA iko hoi na tayari Operations za Jomo Kenyatta-KIA, Jomo Kenyatta-Mwl. Nyerere zimerudi kwa KQ...

Image result for EABL
Pili, baada ya TBL kuruhusiwa kuuza bia Kenya, na Kenya walete bia zao Tanzania. TBL wakakaribia kuuwa bia za Wakenya huko kwao wakati huo bia yao TUSKER ikawa haifanyi vizuri hapa Tanzania. Wakavunja makubaliano, ili kila mtu afanye biashara yake kwake. After years
EABL ya Kenya ikaingia ubia na SBL na wakaipa License ya kuzalisha na kusambaza TUSKER hapa nchini.. Smartly EABL wanauza hapa kwetu wakati sisi TBL haiuzi kule kwao..
Wakati hayo yote yanafanyika Watanzania tunalazwa na fikra za kijinga za viongozi wetu wa CCM.. Education Matters alot

Image result for air tanzania2004 Tanzania tulikuwa na Ndege mbili za serikali (Air Tanzania) na Kenya walikuwa na Ndege 19 (Kenya Airways-KQ)..
2015 Tanzania tuna Ndege 1 ya kukodi kwa ajili ya kupigia Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Kenya wana Ndege 47 zinazotua katika viwanja 62 vya mabara yote duniani...
Tukumbuke bila kuwa na Shirika letu la Ndege Utalii tunaongelea ni kazi bure..

Image result for kcb

Image result for uchumi supermarket tanzaniaRelated image Kenya taratibu inautawala Uchumi wa Tanzania, tayari wana Bank mbili zinazofanya kazi nchini (KCB and Equity Bank), Tanzania bado hatuna Bank yeyote Kenya.
Supermarkets za Kenya tayari zimeingia nchini na kuuwa zetu (Nakumat tayari imeshainunua Shoprite (T), UCHUMI Supermarkets).. Sisi Imalaseko Supermarkets zilishakufa kule Kenya.
Soko la Hisa Dar Es Salaam (DSE) lina Jumla ya Kampuni 21, kati ya hizo Kampuni 7 ni za Kikenya lakini Soko la Hisa la Nairobi (NSE) lina zaidi ya Kampuni 64 na hakuna kampuni hata moja ya Kitanzania.. Hii ni mbaya sana kiuchumi..

PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Storykilo | Designed By Hisia za Mwananchi
Back To Top