[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
ITV NA CLOUDS MEDIA KUPIGWA FAINI YA SH 19MILIONI NA TCRA

Kamati ya maudhui ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imevitoza faini vituo hivyo viwili vya matangazo kwa jumla ya pesa za kitanzania shilingi 19 milioni kwa makosa tofauti tofauti.
Televisheni ya Clouds imeonywa na kutozwa Sh4 milioni
kwa kuonyesha picha za wanawake walio nusu uchi huku ikiitoza Redio
Clouds Sh5 milioni kwa kukiuka kanuni za utangazaji na kuitoza ITV
Sh10 milioni kwa kurusha kipindi kilichomkariri mbunge akimkashifu naibu
spika.
Makamu mwenyekiti wa kamati hiyo bw. Joseph Mapunda alisema mnamo Mei 22 Clouds Television katika kipindi chake cha HIPHOP ilirusha wimbo wa msanii MwanaFA ambao ulikua ukionyesha wanawake wakiwa nusu uchi na katika muda usiofaa na pia kurusha wimbo wa mwanmuziki wa nje Lil Bebbie-Break it down unaoonyesha wanawake wakiogelea wakiwa nusu uchi katika muda ambao watazamaji wengi ni watoto jambo lisilofaa kulingana na maadili.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Thursday, August 11, 2016
Post a Comment