MSANII UDE UDE KUUWAWA KWA KILE LICHOSEMEKANA KUWA UJAMBAZI
Taarifa zilizopatikana hivi punde ni kwamba aliyekuwa msanii wa muziki wa izazi kipya UDE UDE aliyetamba katika wimbo alioshirikishwa na msanii ambayepia ni mtangazaji wa EAST AfricaTV & RADIO, SAM MISAGO uitwao Ballin&Chillin, ameuwawa
BOFYA HAPA KUSIKILIZAWIMBO HUO
taarifa zisizo za kuaminika sana zimeonekana katika mitandao ya kijamii zikieleza kwamba msanii huyo akiwa na mwenzake ambae hakuweza kufahamika kwa haraka wamepigwa mpaka kuuliwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kumkwapua mkoba dada mmoja karibu na eneo la benki kisha kukimbia na ndipo walipo kamatwa na kushambuliwa
Duh kumbe majamaa majambaz wacha wauwawe tu ela ngumu afu mnaiba looh
Magreth Mgaya Ndio Bby ake mie Hanipha Dady
Magreth Mgaya Saidi Kess Mnyama ndo ivo
Julius Mwimehe Kyando wewee muongo wewee
Post a Comment