Loading...
Home »
Unlabelled »
WAZIRI MAKAMBA AIBUKA NA MAADUI WANNE WAKUBWA WA NCHI
Advertisement
[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
WAZIRI JANUARI MAKAMBA AIBUKA NA MAADUI WANNE WAKUBWA WA NCHI
Waziri huyo anaetajwa kua moja kati ya viongozi wenye jitihada na utashi katika mambo na mipango yake mbalimbali ya kiutendaji ameibuka na kuzungumza kwamba maadui wakubwa wa nchi hii kwa anavyowafahamu yeye si watatu bali ni wanne
WAZIRI Makamba amesema tangu nchi ipate Uhuru miaka 50 iliyopita,
maadui watatu ambao ni maradhi, umasikini na ujinga wapo pale pale, hali
inayofanya kuwe na tofauti kubwa kati ya walichonacho na wasichonacho.Aidha, amesema ameongezeka adui mwingine wa nne ambaye ni tofauti kubwa ya usawa kati ya walichonacho na wasichonacho.
Makamba alisema jana jijini Dar es Salaam alipokuwa akizindua ripoti
ya hali ya kipato cha uchumi Afrika Mashariki iliyotolewa na Taasisi ya
Society for International and Development (SID).
Alisisitiza kuwa, “Katika safari ya nchi yetu tumepata wazungu wapya ambao ni Waafrika
wenzetu. Watu wanaishi maisha mazuri sana, watoto wao wanapata elimu
nzuri sana, sasa hivi tofauti imekuwa ni kubwa sana,” alisema
Alisema ni jukumu la viongozi kuhakikisha ubora wa elimu unaboreshwa
kwa kuwa hivi sasa kuna tofauti kubwa ya kiwango cha ubora wa elimu
kinachotolewa kwa watoto wa Tanzania.
“Kama mbunge katika jimbo langu naona watoto wanakaa chini, chakula
hamna, walimu hawana nyumba za kuishi, lakini ukija mjini ni tofauti.
Kwa hili tu umeshatengeneza mataifa mawili tofauti…tunaingia katika
ulimwengu wenye ushindani mkubwa, elimu pekee ndiyo itakayosaidia watoto
wetu,” alisema.
Alisema ripoti hiyo itaanzisha mjadala muhimu juu ya usawa, hivyo
kila mmoja anapaswa kushiriki. Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa SID, Arthur
Muliro alisema ripoti hiyo imeangalia sekta nyingi ikiwemo elimu na
usalama, matokeo waliyonayo hayaoneshi kama kuna usawa.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Friday, August 5, 2016
Post a Comment