[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
KWA MARA YA KWANZA WAGOMBEA URAIS WA MAREKANI BW.Trump na BI CLINTON WAKUTANA USO KWA USO JUKWAANI NA KUCHUANA VIKALI
Wagombea urais
nchini Marekani Hillary Clinton na Donald Trump wamepambana vikali
katika mdahalo wa kwanza wa televisheni ambapo wamepingana katika
masuala mbali mbali ikiwemo masuala ya sera, kodi, ajira na uchumi.
Kadhalika wamejibizana kuhusu Vita vya Iraq na juhudi za kukabiliana na kundi linalojiita Islamic State.
Msimamizi
wa mdahalo huo Lester Holt amemwuliza mgombea wa chama cha Republican
Donald Trump mbona kufikia sasa bado hajaweza wazi taarifa zake za
ulipaji kodi.
Mgombea wa chama cha Democratic Hillary Clinton
amemshutumu mpinzani huyo wake akisema amekuwa akikwepa kulipa kodi na
kudokeza kwamba hilo lina maana kwamba hakuwezi kuwa na wanajeshi, pesa
za kulipa wanajeshi waliostaafu pamoja na kufadhili elimu na huduma ya
afya.
Lakini tajiri huyo kutoka New York amejibu kwa kusema kwamba
atatoa hadharani taarifa hizo iwapo Bi Clinton naye atakubali kutoa
barua pepe 33,000 ambazo zilifutwa kutoka kwa sava yake wakati wa
uchunguzi kuhusu tuhuma kwamba alitumia barua pepe ya kibinafsi kwa kazi
rasmi alipokuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani.
Bi Clinton amekubali lawama kuhusu kosa hilo na kusema hakuwezi kuwa na "kisingizio".
Kadhalika,
Bw Trump amemlaumu mpinzani huyo wake kuhusu kupotea kwa ajira akisema
nafasi za kazi "zinaikimbia nchi" na akalaumu mikataba duni ya
kibiashara.
Amesema Bi Clinton amekuwa mtu wa "maneno mengi, bila vitendo".
Bi Clinton ameahidi kuongeza uwekezaji na kuahidi kuunda nafasi takriban 10 milioni za kazi.
Watu waliandika nini Twitter?
5 milioni
ujumbe kuhusu mdahalo
62% kumhusu Trump
444,000 kumhusu mtangazaji wa NBC Lester Holt (pichani)
10,500 ilikuwa ujumbe kuhusu wageni wasiotarajiwa #UnlikelyDebateGuests
Mdahalo huo ulioandaliwa jijini New York huenda ukawa mdahala
uliotazamwa na watu wengi zaidi katika historia ambapo watu 100 milioni
inakadiriwa walitazama mdahalo huo.
Kura za maoni zinaonyesha wawili hao wanakaribiana sana katika uungwaji mkono.
Kutakuwa na midahalo mingine miwili kabla ya uchaguzi Novemba
Mambo mengine makuu yaliyoibuka kwenye madahalo:
"Umekuwa ukikabiliana na ISIS maisha yako yote,'' Bw Trump amemkejeli Bi Clinton
Amesema Bi Clinton hana uwezo wa kikudhibiti ukali wa kumuwezesha kuwa rais.
Wamarekani Weusi wanaishi "katika jehanamu" nchini Marekani, Trump amesema, kwa sababu maisha yao yamekuwa hatari sana.
Akijibu kupigwa risasi kwa watu weusi, bw Trump amesema suluhu ni kurejesha utawala wa sheria.
Bi Clinton amesema akichaguliwa kuwa
rais atatekeleza mageuzi katika mfumo wa sheria kwa sababu "suala la
asili limekuwa likiamua mengi".
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment