[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
TOYOTA YATOA TAMKO JUU YA USALAMA WA GARI ZAKE ZINAZOJIENDESHA ZENYEWE
Kama yalivyo makampuni mbalimbali ya uundaji wamagari katika ushindani wa kibiashara. Kampuni ya uundaji wa magari maarufu sana duniani TOYOTA nayo iko katika uundaji wa gari linalo jiendesha bila dereva yaani kujiendesha peke yake ili kuweza kupunguza ajali na misongamano inayosababishwa na uendeshaji wa binadamu.
Rais wa TOYOTA Aiko Tayoda na mjukuu wa muanzilishi wa magari hayo walizungumza na waandishi wa habari katika onyesho la magari jijini Paris Ufaransa lijulikanalo kama Paris Motor Show na kusema kwamba zaidi ya $1bill (dola billioni 1) zimetengwa kufanya tafiti za hali ya juu katika mradi huo na kusema kwamba ili kujiridhisha na usalama wa gari hizo zinatakiwa kufanyiwa majaribio kwa zaidi ya Kilometa billion 14.2 sawa na 8.8 billion milles juu ya ardhi.
Utafiti unaofanyika unalenga kuhakikisha mitambo ya kompyuta itakayotumika kuongoza gari hizo kupitia ramani za mitaa na maeneo, hali na aina ya barabara na mambo kadha wa kadha.
licha ya ya kampuni ya TOYOTA makampuni mengine kama Nissan, General Motors, Ford, Google, Audi, Tesla, Baidu na Uber, pia yako katika tifiti juu ya gari hili na rada kuhakikisha wana fanya kazi yenye ufanisi wa hali ya juu.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment