Loading...
Advertisement

TAZAMA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA KATIBU MKUU MPYA WA UMOJA WA MATAIFA [UN] BAADA YA BAN KI-MOON

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==> Advertisement

SHUHUDIA KUAPISHWA KWA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA [UN] BAADA YA BAN KI-MOON KUMALIZA MUDA WAKE

Image result for UN

Antonio Guterres kutoka Ureno ameapishwa Jumatatu kuwa katibu mkuu wa 9 wa Umoja wa Mataifa. Wakati akihutubia mataifa wanachama, Guterres alisema Umoja wa Mataifa lazima uwe wenye kutekeleza majukumu yake kwa wakati. Amesema Umoja huo lazima pia uangazie maswala yanayohusu watu kabla ya kuzingatia zaidi mikakati.

Image result for UN SECRETARYImage result for UN SECRETARYKiongozi huyo mwenye umri wa miaka 67 na aliewahi kuwa waziri mkuu 1995- 2002 na pia kiongozi wa shirika la kushughulikia wakimbizi la Umoja wa Mataifa kuanzia mwaka 2005- 2015, alishinda wagombea wenzake zaidi ya darzeni moja kwenye mchujo wa uchaguzi uliochukua miezi 10.

Image result for UNGueterres anakabiliana na kibarua kigumu wakati ulimwengu ukishuhudia tatizo la uhamiaji, mapigano kwenye mashariki ya kati na Afrika, ugaidi na mabadiliko ya hali ya hewa, pindi atakapochukua usukani Januari mosi kutoka kwa katibu mkuu wa Umoja huo anaeondoka Ban Ki –moon.

PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Storykilo | Designed By Hisia za Mwananchi
Back To Top