MSANII DAVIDO AZIDI KUFANYA VYEMA NA HII NI NYINGINE KALI KATIKA MWAKA INAITWA FIA
Baada ya kufanya ngoma mbili
zilizotamba na hata kunskiliwa mtindo na vionjo katika nyimbo zake mbili (If na Fall) sasa Davido amekuja na nyingine nzuri ambayo katika mtandao wa youtube iliweza kutazamwa mara elfu 52 ndani ya saa moja tu ilupowekwa

BOFYA KATIKA VIDEO HII KUTAZAMA
Post a Comment