MCHORAJI MASOUD KIPANYA AKAMATWA KWA UCHOCHEZI
Msanii wa uchoraji aliyekuamkurugenzi wa shindano la televisheni lililofana la Maisha plus ambaye pia ni mtangazaji katika kampuni ya utangazaji ya Clouds Media, amekamatwa na jeshi la polisi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni uchochezi.
Madai hayo ya uchochezi yaliyo mkumba Kipanya
yanafuatia picha hii aliyochora.
Ambapo imedaiwa kuwa inachochea uchonganishi baina ya Serikali na wananchi wake.
Hata hivyo wengi miongoni mwa wananchi wamesema kwamba hawaoni umuhimu wa madai hayo kwani picha hiyo haikua na maudhui au muonekano ulionyesha moja kwa moja hali ya uchochezi kama inavyodaiwa.
Usisahau ku share kupitia mitandao ya kijamii na kuacha maoni yako katika tovuti hii na kurasa zetu katika mitandao ya kijamii. PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement
Post a Comment