CHRISS BROWN KUNUNUA GARI LENYE THAMANI YA ZAIDI YA KIVITA
Msanii wa muziki wa nchini Marekani Christopher Maurice Brown akijulikana kwa jina la kisanii kama Chriss Brown au Brizzy kama wengi wa wafuasi wake wapendavyo kumuita
Gari hiyo yenye thamani ya dollar $$350,000/= ambayo ni sawa ba Tsh. 875 milioni za kitanzania.
Gari hiyo sifa yake kubwa ya kwanza ina sifa ya kuwa bulletproof yaani uwezo wa kuzuia kuingia kwa risasi katika vioo na bodi yake, ina uwezo wa kutembea gizani bila ya taa huku ikikuonyesha mazingira ya nje kwa kutumia thermovision sensor camera katika taa zake na video ndogo iliyo ndani ya gari hilo,
Ina shoti katika milango yake ambayo huweza kuitumia kumzua adui kutokusogelea wala kugusa gari hiloNa pia inauwezo wa kutoa moshi mwingi kutanda gari hilo na kumzuia mshambuliaji au adui kutokuliona vizuri gari hilo
Aidha msanii huyo anechukua maamuzi hayo baada ya visa kadhaa vya mashambulizi na mauaji ya kutumia silaha kwa wasanii wakiwa katika magari yao ikiwemo ni pamoja na mauji ya hivi majuzi ya msanii XXXtenction. Baada ya kuvamiwa na kupigwa risasi akiwa katika gari lake. PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement
Post a Comment