Loading...
Advertisement
DK.MAGUFULI APIGA PUSH UP ZA KUTOSHA JUKWAANI
[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement

Mgombea
Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi
CCM Dk. John Pombe Magufuli akitoa mpya jukwaani kwa kupiga Push Up kama
kumi hivi ili kuwadhihirishia wananchi wa Mjini Karagwe mkoani Kagera
kuwa yuko fiti kiafya ili kuwatumikia watanzania mara atakapochaguliwa
na watanzania kuiongoza na kuwatumikia watanzania ifikapo Oktoba 25
mwaka huu katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani akisema
kwamba kazi ya kuwatumikia watanzania siyo rahisi ni muhimu kuwa na afya
njema ili kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa na niko tayari kufanya kazi
usiku na mchana.Akizungumza
katika mkutano huo ameongeza kuwa atahakikisha anapunguza kwa kiwango
kikubwa kodi zinazotozwa kwa wakulima wa zao la kahawa ili bei ya zao
hilo iweze kupanda na wakulima hao kufaidika na zao hilo badala ya
kuhangaika kupeleka nchini Uganda ambako bei yake iko juu kuliko nchini
Tanzania.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment