[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
Kingunge aweka bayana kilichofanyika ndani ya CCM huko Dodoma
Wagombea watatu bora wa urais kupitia CCM mwaka 2015
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania bwana Kingunge Ngombale Mwiru
alibainisha kwamba mchakato wa kumpata mgombea wa CCM katika uchaguzi
mkuu ujao haukwenda vizuri huku kukiwa na ukiukwaji wa kanuni na
taratibu za chama.

Bwana kingunge ambaye alikuwa akimuunga mkono mmoja wa wagombea wa
nafasi hiyo ya urais kupitia chama tawala cha CCM, Bwana Edward Lowassa
aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam hapo Jumatano kuwa
mchakato wa kupata wagombea unatakiwa kuanzia kamati kuu kama
ilivyofanyika miaka ya nyuma na wagombea wote yaani mmoja mmoja kupita
kwenye kamati kuu na kupewa nafasi ya kujieleza jambo ambalo
halikufanyika katika mchakato uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma
ambapo kamati kuu ilipokea tu majina matano kutoka kamati ya maadili
ambayo haina madaraka hayo.
Wagombea watatu bora wa urais kupitia CCM mwaka 2015

Aidha alisema ukiukwaji huo wa utaratibu wa kawaida wa kumpata
mgombea katika chama cha CCM unaweza kutafsiriwa kwamba kulikuwa kuna
kikundi cha watu chenye maslahi binafsi ya kumpata mgombea waliyempanga
na kutaka kamati kuu ipokee hivyo hivyo jambo ambalo ni dharau kwa
wagombea wote waliojitokeza na ni dharau kwa chama pia.
Hata hivyo alionyesha dhamira ya kutaka chama kifanye utaratibu wa
kupata maridhiano na makundi ambayo hayakuridhika na mchakato huo ili
kujenga umoja ndani ya chama na kupata ushindi katika uchaguzi mkuu ujao
kutokana na ukweli kwamba bwana Lowassa bado anaungwa mkono na
mamilioni ya watanzania.
Alipoulizwa juu ya uvumi kwamba anafikiria kujiondoa ndani ya chama cha
CCM bwana Kingunge hakutaka kuweka bayana azma hiyo licha ya kusema
kwamba wakati ukifika yeye binafisi kama anataka kuhama chama atatoa
taarifa.

Katika mchakato huo uliofanyika mjini Dodoma siku chache zilizopita
Dr.John Pombe Magufuli alichaguliwa kubeba bendera ya Chama Cha
Mapinduzi-CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka
huu.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Thursday, October 8, 2015
Post a Comment