Loading...
Home »
Unlabelled »
MLIPUKO WA BOMU KUUWA ZAIDI YA 60
Advertisement
[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
Watu zaidi ya 60 wauawa kwa Bomu Iraq
Bomu
lililotegwa ndani ya gari limelipuka na kuwauwa zaidi ya watu sitini
nchini Iraq,katika jimbo la Mashariki la Diyala. Bomu hilo lililenga mtaa
wa kibishara ambapo zaidi ya watu arobaini walifariki huku pia zaidi ya
hamsini kujeruhiwa.
Shambulio jingine lilitokea katika mji wa
kusini mwa Basra,ambao kwa mara nyingi haukuwahi kukumbwa na milipuko
nchini humo.Maofisa mjini humo wanasema bomu hilo lilitegwa katika mtaa
wa al Zubair liliwauwa watu kumi.
Kundi la kiislam la IS
limethibitisha kuhusika katika mashambulizi hayo.Katika mji wa Baghdad
polisi wamesema kuwa bomu lililotegwa ndani ya gari liliwauwa watu kumi
na tatu katika kitongoji cha Husseiniya. PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Monday, October 5, 2015
Post a Comment