[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
BAADA YA MH.POMBE MAGUFULI KUHAPISHWA KUWA RAISI WA TANZANIA WATAA LAMU WA MAMBO YA KISIASA WAZUNGUMZIA CHANGAMOTO KUBWA ZINAZOMKABILI RAISI HUYU KWA HIVI SASA...SOMA ZAIDI
Rais Magufuli anachukua wadhifa huu huku wananchi wa Tanzania wakiwa
na matumaini kuwa atatekeleza ahadi ambazo amezitoa wakati wa kampeni
za uchaguzi ikiwa ni pamoja na kufungua milango ya ajira kwa vijana,
kukabiliana na rushwa kwa nguvu zaidi na kuhakikisha serikali yake
inaboresha miundo mbinu ya nchi ambayo inachangia katika uchumi wa
taifa.
Katika hotuba fupi aliyoitoa baada ya kuapishwa ameahidi kutekeleza ahadi alizozitoa .
Lakini mchambuzi wa masuala ya kisiasa Mwalimu Bashiru Ally wa Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam ameainisha changamoto mbili kubwa ambazo
hazihitaji kusubiri muda mrefu, suala la mgogoro wa kisiasa wa Zanzibar
na kupatikana kwa katiba mpya ya Tanzania.
Rais mpya ambaye ana umri wa miaka 56 amehudumu katika serikali katika
nafasi ya uwaziri kwa takriban miaka 15, kwa muda mrefu akishughulikia
masuala ya ujenzi ambapo kazi kubwa ilihusisha ujenzi wa barabara mbali
mbali nchini humo.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Thursday, November 5, 2015
Post a Comment