Saa
chache baada ya kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt Magufuli ameanza kazi kwa kasi zaidi ambap leo hii ameanza
kazi kwa kumteua mwanasharia mkuu na kuitisha bunge.
Akizungumza
na waandishi wa Habari kwa niaba ya serikali katika viwanja vya Ikulu
Jijijini Dar es salaam katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema
kuwa Rais Magufuli amaenza kazi leo hii kwa kumteua mwanasheria mkuu wa
serikali ambaye ni George Mcheche Masaju aliyewahi kushikilia nyadhifa
hiyo, katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa rais mstaafu
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.
Aidha
Balozi sefue ameeleza kuwa Rais Magufuli ameitisha Bunge la 11 ambalo
litafunguliwa rasmi tarehe 17/11/2015 nakuongeza kuwa huenda mpaka
kufikia tarehe 19 mwezi huu Rais atakuwa amependekeza jina la Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa serikali ya awamu ya tano na
kusubiri ridhaa ya wabunge.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment