USIKU WA KUAMKIA LEO HII BAADHI YA VILABU VIMEFUZU HUKU WENGINE WAKIYAAGA MASHINDANO HAYO..........SOMA ZAIDI
Usiku wa Jumanne ya November 3 ilipigwa michezo ya nane ya UEFA
Champions League kwenye viwanja tofauti huku timu 16 zikiwania nafasi ya
kusinga mbele kwenye hatua ya 16 bora ya michuano hiyo mikubwa kwa
ngazi ya vilabu barani Ulaya.
Baada ya kumalizika kwa michezo iliyochezwa usiku wa Jumanne, kuna timu tayari zimejihakikishia nafasi ya kusonga mbele kwenye michuano hiyo huku nyingine tayari zikiyapa mkono mashindano hayo.
Haya ni maokeo ya mechi zote za UEFA zilizochezwa usiku wa Jumanne kuamkia Jumatano.
Msimamo wa makundi yote ya timu ambazo zilicheza mechi zao usiku wa Jumanne, November 3, 2015
Post a Comment