Loading...
Advertisement

UMOJA WA MATAIFA KUKAA MEZA MOJA NA VIONGOZI ZNZ

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==> Advertisement

Image result for UMOJA WA MATAIFAImage result for UMOJA WA MATAIFAJITIHADA ZA KUMALIZA MZOZO WA UCHAGUZI ZANZIBAR KUENDELEA ZIKIONGOZWA NA UMOJA WA MATAIFA

Juhudi za kutafuta suluhisho kwa mzozo wa uchaguzi mkuu wa Zanzibar unaendelea kwa kuwepo na mazungumzo kati ya wapatanishi wa kimataifa na wanasiasa wa Zanzibar.

Image result for UMOJA WA MATAIFAMjumbe maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon pamoja na wawalkilishi wengine wa jumuia za kikanda wanaendelea na juuhudi za kutafuta njia za kutanzua mzozo ulosababishwa na kufutiliwa mbali ucahguzi mkuu wa Zanzibar na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Jecha Salim Jecha, tarehe 28 Ok

Image result for UCHAGUZI ZANZIBARHadi hivi sasa hakuna taarifa rasmi iliyotolewa juu ya juhudi hizo , hata hivyo kiongozi wa upinzani Maalim Seif Shariff Hamad alilalamika mwishoni mwa wiki kwamba anashindwa kuwasiliana na Rais Jakaya Kikwete ili kuzungumzia mzozo huo.

Image result for UCHAGUZI ZANZIBAR

"kwa mujibu wa habari zilizopatikana jioni hii Maalim Seif amemuandikia Rais Jakaya Kikwete, barua akimuomba akutane nae ili kuzungumzia hali ya kisiasa ya Zanzibar."

Kiongozi huyo wa upinzani anamatumaini pia kuzungumza na mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Tanzania Jenrali Davis Mwamunyange, kuzungumzia hali ya usalama visiwani humo.

 

 

PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Storykilo | Designed By Hisia za Mwananchi
Back To Top