MAKONTENA 9 KATI YA YALE 349 YALIYOPOTEA YAKAMATWA DAR
Makontena 9 yakamatwa eneo la Mbezi Beach, Tangi Bovu Polisi wa Dar es Salaam kwa kushirikiana na TRA wanayashikilia makontena 9 wanayoyatilia mashaka kuwa huenda yalikuwa yanatoroshwa Tanki Bovu, Mbezi Beach.Madereva waliokuwa wanasafirisha makontena hayo baada ya kuhojiwa wamesema hawajui wanakoyapeleka na hawana nyaraka muhimu za kuonyesha kilichopo ndani.
Kontena ni mali ya heritage empire company limited na yalipitia ICD ya PMM iliyopo Vingunguti Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KUONA VIDEO YA TUKIO
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement
Post a Comment