[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
Waingereza waliopiga picha ndege Kenya mashakani
Wapigaji picha wakichukua nambari za usajili za ndege
Raia wanne wa
Uingereza waliokuwa wakipiga picha ndege nchini Kenya wameamrishwa
kulipa faini ya pauni 1,400 ama wahudumie kifungo jela kwa kuchukua
picha hizo katika uwanja wa ndege jijini Nairobi kinyume cha sheria.
Wanne
hao kutoka Manchester nchini Uingereza walipatikana wakichukua picha
hizo katika uwanja wa Wilson jijini Nairobi na wamekuwa wakizuiliwa kwa
zaidi ya juma moja. Wanaendelea kuzuiliwa na polisi hadi faini hiyo itakapolipwa.
Watu hao wanasema kuwa maafisa katika uwanja huo wa ndege waliwapatia ruhusa kufanya hivyo.
Lakini walizua tatizo la kiusalama walipopatikana katika baa ya uwanja huo wa ndege.
Baadaye
walikiri mashtaka mawili ya kuingia na kupiga picha ndege bila ruhusa
shtaka lililo na faini ya pauni 700 kila mmoja wao. PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment