ONA NAMNA TATTOO ZINAVYOTUMIKA KATIKA MAJERAHA NA MAKOVU MAKUBWA
THE USE OF TATOO FOR SCARS TO BEAUTIFUL LOOKING

Watu wamekua wakitumia tattoo kwa matumizi ya urembo , wengine kama kiapo na kumbukumbu kwa wale wawapendao na kuwaenzi na wengine kuenzi tamaduni zao na kufikisha ujumbe na hisia walizonazo juu ya mambo au vitu fulani na kadhalika
Lakini pia TATTOO zimetumika kwa kuziba majeraha na kufanya mtu mwenye makovu au majeraha hayo kuonekena katika hali ya kuvutia na kujiamini
Even mothers who've given birth via c-section have replaced their scars with something beautiful!And people who've survived broken bones...
Post a Comment