Loading...
Home »
Unlabelled »
HELICOPTA YATUMIA $4000$ KUFUATA POCHI YA GAVANA......
Advertisement
[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
HELICOPTA YATUMIA $4000$ KUFUATA POCHI YA GAVANA......
HElikopta ya polisi ilitumwa kuchukua
pochi ya gavana wa jimbo moja nchini Marekani, safari iliyogharimu
$4,000 (£2,800), uchunguzi umebaini.
Kisa hicho kilitokea mwishoni mwa 2014.
Gavana
wa Alabama Robert Bentley aliondoka Tuscaloosa kuelekea kwenye nyumba
yake ya ufukweni, mwendo wa saa tano hivi ukitumia gari, lakini akasahau
pochi yake.
Aliwataka maafisa wake wa usalama kwenda kuchukua
pochi hiyo. Maafisa hao walitumia helikopta hiyo ya polisi, rekodi za
safari za ndege zimeonesha.
Bw Bentley anakabiliwa na shinikizo za kumtaka ajiuzulu kutokana na sakata ya unyanyasaji wa kingono.Lakini anasema hakuagiza ndege itumiwe kwenda kuchukua pochi.
"Niliwaomba tu waende wakachukue pochi yangu, sikuwaambia watumie njia gani,” gavana huyo ameambia mtandao wa AL.com.
„Sikuwaambia
watumie helikopta. Ni lazima uwe na pochi yako kwa sababu za kiusalama.
Mimi ni gavana. Na ni lazima niwe na pesa. Ni lazima ningenunua kitu
cha kula. Na nilihitaji vitambulisho vyangu.”
Tovuti ya AL.com inasema safari hiyo ya helikopta iligharimu mlipa kodi takriban $4,000 (£2,800).
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Friday, April 15, 2016
Post a Comment