NI LEO JIJINI MWANZA HAPA DIAMOND PLATINUMS NA PALE NEYO PAMOJA NAWENGINE WAKALI KIBAO
Mara baada ya kuwasili msanii huyo alisema alipelekwa katika hotel ya Hyatt Regency ambako yeye na timu yake nzima wamefikia na baadaye alijumuika na waalikwa wachache katika “Meet & Greet Party”
Vodacom Tanzania imedhamini ujio wa mwanamuziki huyu ili kuwapatia burudani ya kimataifa wateja wake na watanzania wote kwa ujumla. NE-YO ambaye ataimba steji moja na wanamuziki wa Tanzania wakiwemo Fid Q, Juma Nature, Mr Blue na wengine wengi, sambamba nao pia atakuwepo mwanamuziki nyota wa Afrika Mashariki, Diamond Platnumz.
Kumbuka wawili hawa wako katika matayarisho ya ngoma yao ambapo Diamond amemshirikisha NE-YO na kwa mujibu wa Diamond Platnumz watatambulisha wimbo huo leo katika tamasha la “Jembeka Festival”

1. Piga *150*00# chagua 4 LIPA KWA M-PESA
2. Chagua 3 CHAGUA KWENYE ORODHA
3. Chagua 2 MANUNUZI
4. Chagua 3 JEMBEKA FESTIVAL
5. Weka namba ya kumbukumbu – 200200
6. Weka kiasi
7. Weka PIN yako ya M-PESA
8. Bonyesha 1 kuthibitisha.
Tukutane Jembeka Festival
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment