Loading...
Home »
Unlabelled »
MAISHA PLUS 2016
Advertisement
[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
SHINDANO LA MAISHA +PLUS MASOUD KIPANYA KUJA NA KASI MPYA 2016
Mchoraji maarufu wa vibonzo na mtangazaji wa Clouds FM,
Masoud Kipanya amekiri kuwa misimu miwili iliyopita ya shindano la
Maisha Plus ilipoteza mvuto kutokana na kuwachanganya vijana na akina
mama na pia kuingiza masuala ya kilimo.
Na sasa Masoud amedai kuwa msimu mpya ambao tayari umeanza usaili utarudisha ile Maisha Plus ya awali yenye burudani zaidi.

“Msimu wa tano unarudi kwa vijana peke yao, hakuna tena kinamama,
wakulima wala nani hawahusiki. Sasa hivi ni vijana peke yao. Kwahiyo ule
mchakamchaka, ile burudani ya nguvu ambayo vijana walikuwa wanaipata
kupitia Maisha Plus ya kwanza nay a pili sasa watakuja kuipata tena
katika msimu huu wa tano,” Masoud alikiambia kipindi cha Super Mega cha
Kings FM ya Njombe kinachoendeshwa na Divine Kweka.
Mwaka huu shindano litahusisha pia vijana kutoka Afrika Mashariki
ambapo kutoka Tanzania watakuwa 14 na nchi zingine 16. Mshindi
atajinyakulia kitita cha shilingi milioni 30.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Tuesday, June 7, 2016
Post a Comment