Loading...
Home »
Unlabelled »
IRAN KUNUNUA NDEGE 100 KUTOKA MAREKANI
Advertisement
[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement

Iran kununua ndege 100 kutoka Marekani
TEHRAN, IRAN
MAMLAKA ya Usafiri wa Ndege nchini Iran zimetangaza kuwa itanunua
ndege 100 kutoka kampuni ya uundaji ndege ya Boeing, nchini Marekani.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali ya Iran, kwa sasa pande hizo mbili zinasubiri idhini kutoka Hazina ya Marekani.
Aidha Januari mwaka huu, Iran ilifikia makubaliano na Marekani
kununua zaidi ya ndege 100 kutoka kampuni ya uundaji wa ndege barani
Ulaya ya Airbus.
Makubaliano ya sasa yanathibitisha taarifa iliyotolewa Juni 6 mwaka
huu na Shirika la Habari la Uingereza (Reuters) kuwa Iran ipo njiani
kufikia makubaliano ya kihistoria ya kununua ndege kutoka kampuni ya
Marekani.
Ununuzi huo kutoka Marekani utakuwa wa kwanza tangu mapinduzi ya Kiislamu ya taifa hilo mwaka 1979.

Idhini ya Marekani kwa Boeing kuanzisha mazungumzo ya kibiashara na
Tehran Februari mwaka huu ilitokana na kuondolewa japo kwa kiasi kidogo
kwa vikwazo vya kiuchumi, baada ya makubaliano ya kupunguza mpango wake
wa nyuklia.
Iran inajikakamua kununua ndege mpya za kibiashara, kuchukua mahala
pa ndege zake zilizozeeka ili kupanua sekta yake ya uchukuzi wa anga.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Monday, June 20, 2016
Post a Comment