NIGERIA KUJIKITA NA KUJIBORESHA KATIKAMATUMIZI YA TRENI ZA MWENDOKASI
Baada ya si muda kitambo serikali ya nchi ya Nigeria kuzindua na kuanza matumizi ya njia ya reli kwa treni kutoka Abuja kwenda Kaduna zenye kiwango cha daraja la juu zenye uwezo wa mwendokasi kwa kutembea Km120 mpaka Km150 kwa saa huku zikitumika kwa matumizi ya abiria na mizigo mizito yenye uwezekano wa kuharibu barabara kwa mfano ile itokayo bandarini mnamo mwezi Machi 2016, mradi uliogharimu dola $849 million,
Sasa rais wa nchi hiyo atangaza mradi mwigine wa njia hiyo ya uchukuzi wa treni yenye kasi zaidi duniani. Mkataba wa mradi huo umesha sainiwa na The China Railway Construction Corporation ambapo unatarajiwa kukamilika mwaka 2025 na unatarajiwa kugharimu dola $13 billion kwa mtandao wa kilometa 3,228- utakaoendeshwa kidigitali kwakutumia fibre-optic cables, radio communication na wireless services pamoja na vituo vya stesheni 54 vitakavyojengwa.
IFUATAYO NI RAMANI YA MAENEO YATAKAYOPITIWA NA MRADI HUO
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment