Loading...
Home »
Unlabelled »
TIZAMA MAJINA YA WADAIWA SUGU WA BODI YA MIKOPO HESLB NA HATUA KALI ZITAKAZO CHUKULIWA
Advertisement
[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU HESLSB KUWAFUNGIA KAMBI WADAIWA YATOA ORODHA YA WADAIWA HAO NA HATUA ZITAKAZOCHUKULIWA
Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB), inawaarifu wadaiwa
wote ambao mpaka hivi sasa hawajaanza kulipa mikopo waliochukua kipindi
wanasoma, na wenye majina yao kwenye orodha hii kwamba wamevunja mkataba
kutokana na sheria ya bodi hiyo No. 9 ya 2004 (kama ilivyorekebishwa)
sehemu ya 19 (1).
Na wanataarifiwa kwamba, kulingana na sheria hiyo ya bodi (HESLB) No. 9 ya 2004, Bodi imedhamiria kutenda yafuatayo:-
(i) Bodi itachukua hatua za kisheria kulingana na kipengele cha 19 (a) (1) cha sheria ya bodi.
(ii) Mdaiwa atapewa penati ya 5% juu ya ile 5% iliyokua ikitozwa kabla kwa kila mwezi kwenye deni lililobakia au alilonalo.
(iii) Mdaiwa ataongezewa gharama za kumtafuta alipo ili alipe deni zilizoingiwa na bodi.
(iv) Mdaiwa atawekwa kwenye ‘blacklist’ na maelezo yake yatapelekwa
kitengo cha kumbukumbu ya wakopaji na hivyo kushindwa kukopa sehemu
nyingine yoyote.
(v) Mdaiwa atazuiliwa kupata udhamini wa Serikali au udahili wa masomo ya juu kwenye vyuo vyovyote ndani na nje ya nchi.
(vi) Maelezo yao yatapelekwa kwenye Wizara ya mambo ya ndani, kitengo
cha Uhamiaji na balozi zote ambako watakataliwa safari zozote za kwenda
nje ya nchi.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Wednesday, July 27, 2016
Post a Comment