JOTI KUSHAMBULIWA NA MASHABIKI MTANDAONI
Msanii wa vichekesho, Lucas Lazaro ‘Joti’, mwishoni mwa wiki iliyopita amezua timbwili baada ya mashabiki wake kupinga staili aliyoianzisha kwa sasa ya kupiga vile vinavyozuiwa na Serikali.
Hatua hiyo inakuja baada ya Serikali kizuia mafuta ya Ky ambayo
msanii huyo aliamua kuigiza kipande kifupi cha video akipinga kuzuiwa
kwa mafuta hayo.
Kitendo hicho kimewafanya mashabiki wake kuja juu na kumtaka msanii huyo kuongeza ubunifu kwenye kazi zake na kuachana na habari za kupiga visivyofaa.
BOFYA PICHA HII KUTAZAMA VIDEO HIYO
Issa Mwarami, aliandika kwenye ukurasa wake wa instagram: “Mimi ni shabiki yako mkubwa ila kwenye hayo mafuta umechemka ndugu yangu, ungerudi kwenye staili yako ya zamani,” aliandika.Naye Suraiya Ikram alisema: “Sasa unakoelekea siko, umesifiwa sana naona unalewa sifa.” na wengine wakimtetea kwakudai kuwa ni biashara tu PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=> Advertisement
Post a Comment