LEO HII RAISI JPM KUFANYA ATENGUZI WIZARA YA FEDHA NA KUFANYA UTEUZI MPYA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe
31 Agosti, 2016 amemteua Bw. Doto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha na Mipango.
RAISI AKIMUAGA ALIEKUA KATIBU MKUU HAPO AWALI |
Kabla ya uteuzi huo Bw. Doto M. James alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera).
Bw. Doto M. James ataapishwa kesho tarehe 01 Septemba, 2016 saa 2:45 Asubuhi Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Katibu mkuu mpya Bw. Doto M. Jame |
Kufuatia uteuzi huo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile atapangiwa kazi nyingine.
Post a Comment