[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
PAPA FRANCIS AMTAWAZA MAREHEMU MAMA TERESA KUWA MTAKATIFU

Sasa
hivi Mama Tereza anajulikana kama Mtakatifu Teresa wa Calcuta, baada ya
kutawazwa rasmi na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis.
Leo
maelfu ya watu wamejitokeza kushuhudia tukio hilo kubwa duniani la
kutangazwa kwa kwa raia huyo wa Albania ambaye alifariki mwaka wa 1997.Mama
Tereza alianzisha shirika la hisani la kimishenari ili kuwasaidia
walala hoi katika mtaa wa mabanda wa Calcutta nchini India.
Lakini
wakosoaji wanesema kuwa Mama Teresa hakuwasaidia watu waliokuwa
wagonjwa na alilaumiwa kwa kujaribu kuwabadilisha dini watu maskini wa
kabila la Hindu nchini India kuwa Wakristo.
Sherehe
za kutangazwa kuwa mtakatifu kwa mshindi huyo wa tuzo ya amani ya
Nobel, zimehudhuriwa na wageni zaidi ya 1,000 wakiwemo wakuu wa nchi
mbalimbali 13 na viongozi wa madhehebu hayo.
Ulinzi
umeimarishwa wakati wa sherehe hizo. Mama Teresa aliyezaliwa mwaka 1910
katika taifa ambalo hivi sasa linajulikana kama Macedonia, alianza
huduma ya utawa akiwa na umri wa miaka 16.
Ilikuwa
ni kazi yake ya kuwasaidia wagonjwa na maskini huko Calcuta, India
iliyompatia umaarufu mkubwa duniani kote, pamoja na kupokea tuzo ya
amani ya Nobel.
Papa
Francis amesema huruma aliyokuwa nayo Mama Teresa inapaswa kuwa mfano
kwa Wakatoliki wote. Kutawazwa kwa mtawa huyo kunakuja miaka 19 baada ya
kifo chake.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Sunday, September 4, 2016
Post a Comment