[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
TAZAMA BASI LINLORUHUSU MAGARI MADOGO KUPITA CHINI YAKE HUKO NCHINI CHINA
Nijambo ambalo kwa haraka haraka laweza kuonekana masihara ila ndio ya ulimwengu kwani unazidi kubadilika kulingana na muda unavyo kwenda na ujue kwamba unapopiga hatua basi kuna aliyeanguka au kupiga hatu zaidi mbele yako;
Wakati nchi yetu ikipiga hatua katika swala la miundombinu kwa kuanzisha barabara na magari ya mwendokasi wenzetu Nigeria wako katika hatua ya matumizizi ya treni za mwendokasi ambozo huwawezesha wafanyakazi, wafanya biashara na raia wengineo kufanya safari za umbali mrefu nchini humo kwa muda mfupi na gharama nafuu.
Na sasa hapa ndio patamu zaidi kwani wakati nchi na miji iliyo mingi duniani na barani Afrika kwa ujumla zikiendelea kutilia bidii katika swala la uboreshaji miundo mbinu ya brarbara kwa kujenga vivuko vya juu ya barabara yaani (fly_overs) na barabar za juu na chini ili kukabiliana na msongamano wa magari (road traffic jam) unaopelekea usumbufu, kudorora kwa shughuli na ajali za barabarani; wenzetu china wamebuni basi linalopita katika barabara moja na magari madogo na kuyaruhusu magari madogo kupita chini yake huku safari zikiwa zinaendelea kama kawaida.
BOFYA KATIKA VIDEO KUTAZAMA
Mradi huo umeifanya China kuendelea kuheshimika kama taifa lenye teknolojia ya hali ya juu katika swala la miundo mbinu kwani basi hilo linauwezo wa kuungwa mpaka kufikia mlolongo wa vipande vinne ambapo kila kipande kina uwezo wa kubeba abiria 300 na kuli fanya kuweza kubeba abiria 1200 kwa safari moja huku likiruhusu gari kupita na kupishana chini yake
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment