TRA YATOA TAREHE YA MWISHO KWA VITUO VYA UUZAJI MAFUTA KUANZA KUTUMIA MASHINE ZA ELECTRONIC
Waendeshaji
wa Vituo vya Kuuza Mafuta Nchini (TAPSOA) umekutana na kujadiliana
changamoto zilizopo katika zoezi la ufungaji wa mashine za EFPP na
kukubaliana yafuatayo;-
a)Serikali
imesogeza mbele tarehe ya mwisho ya kufunga mashine za EFPP, ili kutoa
nafasi kwa TRA ikishirikiana na TAPSOA kutatua changamoto zilizopo kwa
sasa.
b)Wamiliki
wa vituo vya kuuza mafuta ambao hawajakamilisha ufungaji wa mashine za
EFPP waendelee kutumia mashine za mkono (ETR) mpaka hapo
watakapotaarifiwa vinginevyo.
c)TRA
inawakumbusha wamiliki wote wa vituo vya kuuza mafuta kuhakikisha kuwa
wanatoa stakabadhi za kielektroniki kwa kila mauzo wanayofanya ili
kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza ikiwemo adhabu kwa kukaidi agizo
hili la kisheria.
Post a Comment