[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
ABIRIA WAKWAMA BANDARINI MANAHODHA NA MABAHARIA 13 WAKAMATWA
ABIRIA 101 waliokuwa wakisafiri kutoka Kisiwani Pemba kwenda Tanga kupitia Bandari ya Wete, wamekwama bandarini.
Abiria hao wamekwama mahali hapo baada ya nahodha na mabaharia wa mashua waliyokuwa wakisafiria, kukamatwa.
Nahodha wa mashua hiyo, Badili Tabia yenye namba za usajili, Z 158, ilikuwa ikiongozwa na nahodha, Daud Mkashari Mpemba.
Taarifa zilizopatikana zinasema nahodha na mabaharia hao 13
walikamatwa kwa kuwa walikiuka agizo la Serikali la kuzuia mashua
kusafirisha abiria.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, agizo la kukamatwa nahodha na mabaharia
hao lilitolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Wilaya ya
Wete, Abeid Juma Ali baada ya kufanya ziara ya kushitukiza bandarani
hapo na kukuta mashua hiyo ikiwa imepakia abiria.
Pamoja na kuzuia safari hiyo, Ali alisema abiria hao hawakuwa
wameorodheshwa majina yao katika maeneo husika, jambo ambalo lingeleta
utata kama wangepata matatizo safarini.
“Uamuzi wa Serikali kuzuia mashua kusafirisha abira ni kulinda usalama wao kwa vile vimesajiliwa kwa ajili ya kubeba mizigo.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Friday, September 30, 2016
Post a Comment