[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
TAZAMA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOKOSEA KUJAZA FOMU ZA MIKOPO YA ELIMU YA JUU PAMOJA NA MAELEKEZO YALIYOTOLEWA
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetangaza majina ya wanafunzi 2016/2017,
waliokosea kujaza form za mikopo kwa kutokuweka vitu muhimu kama
sahihi za muombaji na sahihi za wadhamini wao.Kwa sababu hiyo kundi la
hawa watu wanatakiwa kufika moja kwa moja ofisi ya bodi ya mikopo kuweka
sahihi hizo.
Ofisi za bodi ya mikopo zipo Plot No. 8, Block No. 46 Sam Nujoma Road, Mwenge, Dar es Salaam.
Wote mliokosea mnatakiwa kufika katika ofisi za bodi ya mikopo kuanzia tarehe 3 jumatatu asubuhi kwa ajili ya kuviweka.
Lakini wale wote ambao hawakuweka
picha,vyeti ,picha za wadhamini ,vyeti ambavyo havijakikiwa na mahakama
wanatakiwa kutuma vitu hivyo kwa anwani ya EMS kwenye anwani ifuatayo;
The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,
P. O. Box 76068,
DAR ES SALAAM.
Pia bodi inawaasa wanafunzi kuwa kusahihisha information za mikopo sio gurantee kwamba ndio utapata mkopo.
pia kama hautasahihisha information zako,itaendelea kuwa hivyo hadi utakapoamua kusahihisha.
DEADLINE YA KUREKEBISHA NI TAREHE 7/10/2016
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Saturday, October 1, 2016
Post a Comment