[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Advertisement
BAADA YA MIONEKANO KADHA WA KADHA SASA DIMOND PLATINUMS KUJANA MUONEKANO MPYA

Baada ya kuonekana katika mionekano kadhaa tofauti tofauti kwa vipindi tofautitofauti ambapo katika mabadiliko hayo mbalimbali msanii huyu amekua akiwavutia wengi pamoja na kuwakwaza kulingana na vile wanavyo ichukulia na kuitafsiri mionekano hiyo.

Hata hivyo katika enterview aliyofanya na kituo cha redio cha clouds Fm kupitia kipindi cha burudani cha XXL Mondy alisema muonekano wake wa sikuzote na jinsi yeye mwenyewe alivyo ni vitu viwili tofauti.
"labda niseme kitu kimoja Dazen, mimi ni mtu mmoja mzuri sana yaani mimi ni kijana mstaarabu kuliko wanavyonidhania wengi kwamba ooh huyu muhuni sijui nini kwasababu ya vile wanavyoniona na kunchukulia wao ila kiukweli mimi sina makuu na ni muungwana " alisema Diamond alipokua akimjibu mtangazaji B Dazen katika enterview hiyo
na
huu ndio muonekano mpya wa msanii diamond platinums. ambapo kwakuwa
bado ni awali tangu msanii huyo kuanza kuonekana hivyo, basi
hajazungumziwa wala hakuna maoni yoyote yaliyokwisha kupatikana
kulingana na hilo. nitoe fursa kwa msomaji wa yanayojir kuitazama picha
hyo kwa makini na kisha eleza nii maoni yako juu ya muonekaano huu mpya
wa msanii platinums.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>Advertisement
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Monday, November 28, 2016
Post a Comment