WANACHUO IFM WAVULIWA MAJOHO KATIKA MAHAFALI
CHUO cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kimeanza utekelezaji wa agizo la Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, kwa kuwazuia wahitimu wa ngazi ya cheti na stashahada kuvaa majoho na kofia wakati wa mahafali yao.
Dk.
Kaganda alisema utaratibu huo ni kwa mujibu ya miongozo iliyotolewa na
Serikali kuhusu uvaaji wa majoho, ambao unataka yavaliwe na wahitimu wa
kuanzia ngazi ya shahada na kuendelea.
“Wahitimu
wote wa ngazi ya cheti na stashahada hamtovaa majoho wala kofia pamoja
na kwamba mlishapewa awali, tunaomba radhi kwa sababu ndiyo miongozo
tuliyopewa,” alisema Dk. Kaganda.
“Siku
hizi hata mwanafunzi akimaliza chekechea anavalishwa joho. Nafikiri
haya majoho yangebaki kwa wanaohitimu digrii peke yake, ili hawa wengine
nao watamani kufika ngazi hiyo na si kila mtu anavaa,” alisema Profesa
Ndalichako.
Katika
mahafali hayo, jumla ya wanafunzi 2,857 wa ngazi za cheti, stashahada,
shahada, stashahada ya uzamili na shahada ya uzamili walihitimu masomo
yao.
PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>AdvertisementKAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Advertisement
Post a Comment